#VIDEO Rais @MagufuliJP ameondoka nchini Namibia baada ya kumaliza ziara yake rasmi ya kitaifa nchini humo. Ameelekea Zimbabwe ambako leo Mei 28, 2019 ataanza ziara rasmi ya Kitaifa ya siku 2 kwa mwaliko wa Rais wa Zimbabwe Mhe. Emmerson Mnangagwa. pic.twitter.com/0L1M31Zp6D— East Africa TV (@eastafricatv) May 28, 2019
0 comments:
Post a Comment